Tumepata kausafiri kapya katika kitengo cha kazi.....hapa kapo tayari kuchukuliwa, kutoka shirika la Opel.
Hapa unajichagulia we mwenyewe tu! nguvu yako tu......
Jamaa akitoa maelezo kidogo kabla sijachukua usafiri huu mpya, hii ilikuwa leo asubuhi.
Jamaa akinikabidhi ufunguo, ufunguo huu hapa.....na kusema; ushindwe wewe tu! kufika huko Cesena, nikitokea Rimini km 35.
Yes, ngoja na mimi nijaribu kitu kipya....hadi raha kuendesha.
Ka usafiri kwa ndani, kanang'aa tu! ngoja ikianza kazi..ruti kibao!
Hatimae kausafiri nimekafikisa salama katika makazi yake, kwenye Parking yake. Nilikuwa naendesha huku naogopa ile mbaya....maana vitu vya watu bwana, tena kimpya kabisa.....sitaki lawama.
No comments:
Post a Comment