Baada ya kuchukua kausafiri kapya, sasa ni safari ya kurudi nyumbani Cesena. Safari na muziki....ninavyopenda muziki huu wa KWAITO mpaka basi. Hasa wimbo huu wa MUTUNZA.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment