Friday, November 25, 2011

MAKABURI YA WENZETU HAYA!

Kama ni maskini mwenzangu na mimi, unaweza usizikwe....ukachomwa moto tu! Maana makaburi yanauzwa bei kubwa, pia ni ghalama sana kuwa na kaburi....lazima ununue kaburi kabla hujafa, la sivyo ni kuchomwa moto tu kama wakikosa hata sehemu ya kukuzika chini kama Bongo.

No comments:

WATEMBELEAJI