Friday, November 25, 2011

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ARUSHA - NA MADHARA YAKE!

Lori limetumbukia mtoni na kuuwa dereva na fundi wa kuendesha mitambo ya utengenezaji barabara, baada ya kusombwa na maji katika daraja la mto Loobuko, kati ya Makuyuni na Mto wa Mbu, Wilayani Monduli, Mkoani Arusha....kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani humo.

-Picha na Prisca Libaga.

No comments:

WATEMBELEAJI