Wednesday, November 30, 2011

PATO, ROBONHO NA THIAGO SILVA....WAKIFURAHI NDANI YA TRENI.



Wachezaji wa Timu ya Ac.Milan ya Milano - Italy, Pato, Robinho na Thiago Silva....wakifurahi kwa kuimba ki kwao (Brazil) mambo ya Samba haya, wakiwa ndani ya Treni kutoka Firenze walikocheza na Timu ya Fiorentina, wakirudi Milano.

No comments:

WATEMBELEAJI