Thursday, December 1, 2011

TUNAPOELEKEA KWENYE MIAKA 50 YA UHURU WETU!

Miaka 50 hii ya Uhuru wetu, je tumefanya nini? Je hali kama hii imepungua....na kuwa nzuri au? Je itakuja kuwa nzuri kabisa kama wenzetu walivyo?
Hivi kweli hapa Mama huyu anapochota maji, kuna maji kweli...sio ya kusubiria siku nzima?
- Mi naliombea sana Taifa langu, lipate walau vitu muhimu kama hivi vya maji n.k....ili watu wote waishi maisha yanayostahili, sio maisha ya kuotea otea tu.

No comments:

WATEMBELEAJI