
Ni wabunge wa Italy hawa.....kila mara hutofautiana kauli mpaka kufikia hatua ya kuzinyuka ndani ya ukumbi wa Bunge, aibu kweli kweli kwa Taifa! Tena mara nyingi kunakuwa na wanafunzi wanaotembelea Bunge ili kujifunza mambo mbalimbali ya siasa......sasa hapa watajifunza nini? Kuzikunja au?
No comments:
Post a Comment