Thursday, December 1, 2011

HAPA NDIPO PANAITWA MACHINJIONI - DAR ES SALAAM.



Wakazi wa Jiji la Dar es salaam, wakiangalia Lori aina ya Fiat 682 a.k.a Mbaula, likiwa limeparamia nguzo ya taa za barabarani katika makutano ya Mandela na Chang'ombe, eneo hili maarufu kama Machinjioni....jana baada ya kulikwepa gari dogo ambalo halipo pichani.


- Picha na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI