Thursday, December 1, 2011

OMARY MJENGA NA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI NCHINI SIERRA LEONE.



Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone, Bw.Omary Mjenga...akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS, Bi.Mulunesh, raia wa Ethiopia...kwenye sherehe hizo ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone, Mh.Ernest Koroma. Bi.Mulunesh...aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.


- Habari na Henry Kapinga.

No comments:

WATEMBELEAJI