Nyani huyu ndiye kivutio kikubwa katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara. Wageni wengi sana hutembelea Hifadhi hiyo kwa lengo la kumtazama Nyani huyu anayejulikana kwa Jina la Jumanne. Hapa Warembo wa Miss Utalii wakiendelea kumshangaa kama walivyokutwa na Kamera ya Jicho langu.
- Picha na Mpalule Shaaban.
No comments:
Post a Comment