Wednesday, December 14, 2011

JAMAA NAYE ANAFICHA SURA....WAKATI WENZAKE WANAUZA SURA!

Ngedele wee...!!!! Hubu geuka huku tukuone sura yako, na kama inalipa kama mwenzio wa Manyara, anavyoonyesha vitu vyake bila aibu yoyote....shauri yako aibu yako itakuponza ukose kuchaguliwa pale Ze comedy. Uza sura Kijana siku hizi mambo ni hayo tu ya kuuza sura!

No comments:

WATEMBELEAJI