Wednesday, December 28, 2011

IRINGA YAONGEZA JUHUDI ZAIDI YA KUTOKOMEZA NJAA!

MOJA YA MATREKTA YALIYOKOPESHWA KWA WANACHAMA WA IDODI SACCOS, LIKIFANYIWA MAJARIBIO KWAAJILI YA MSIMU HUU WA KILIMO.

Awamu ya pili ya Mkakati wa kukuza Uchumi na kupunguza umaskini Tanzania (MKUKUTA II), ni mwendelezo wa jitihada za Serikali katika kuharakisha ukuaji wa Uchumi na kupambana na umaskini nchini.

- Picha na Habari na Frank Leonard.

No comments:

WATEMBELEAJI