Wednesday, December 28, 2011

K-LYNN...AACHA MUZIKI SASA!

Mwanamuziki mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya, ambaye pia ni mshindi wa Taji la Miss Tanzania 2000, K-Lynn....ametangaza rasmi kuachana na Muziki na kujikita zaidi katika sanaa ya Upambaji.

- Kila lakheri nyingi sana K-Lynn, katika kazi yako hii mpya.

No comments:

WATEMBELEAJI