Tuesday, December 20, 2011

JINA LA CHOMBO HIKI, LINAITWA NANIHII..........

Yaani hawa jamaa walikosa majina yote mpaka waipe pikipiki hii jina hili.....sasa si wasingetuletea kabisa Tanzania, au hawaulizagi maana ya majina katika nchi husika wanakopeleka hivi vyombo....siku nyingine wasije wakatuletea majina ya matusi kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI