Tuesday, December 20, 2011

NILIKUTANA NA HII, AMBAPO RIDHIWANI KIKWETE ALIKUWA AKISEMA;

Nilikutana na hii katika mtandao, na nikaipenda sana....ambapo mtoto wa Rais wetu Mh.Jakaya Kikwete., yaani Ridhiwani Kikwete, alikuwa kaandika hivi;

Chipukizi wa Chadema. Safi sana hii....inaonyesha dira fulani. CCM haitishwi wala kumalizwa na Chadema....inajimaliza yenyewe kwa kushindwa kusimamia maswala ya msingi kabisa ya Wananchi wa Tanzania.

- Ni maneno ya Ridhiwani Kikwete haya.

No comments:

WATEMBELEAJI