Saturday, December 31, 2011

KALENDA YA 2012 YA MAKALALA CHILDREN HOME..INAANZA HIVI.





Kama unataka kuipata Kalenda hii ya Watoto Yatima wa Makalala, ili uchangie mchango wako wa hawa watoto yatima unaipata kwa Euro 10, pia kama unatoa zaidi ni vizuri zaidi kuendeleza kituo hiki cha Makalala.
Unaweza kuniandikia E-mail; baraka500@yahoo.co.uk
Nitakutumia unapotaka ikufikie.

No comments:

WATEMBELEAJI