Saturday, December 31, 2011

MARAFIKI ZANGU.....HAPA LUGHA IPO GONGANA KABISA!



Marafiki zangu; Mara na Cappo..mtu na mkewe....walinialika katika chakula cha mchana cha kumalizia Mwaka 2011, walipenda sana niwashukuru kwa kunialika kwao kwa Lugha ya Kiswahili ili wasome wao, ndipo hapo nilipowatimizia ombi lao....ila kasheshe ipo kwenye kusoma sasa; 2011 na 2012 walishindwa kabisa kutamka ndipo wakaamua kuitaja kwa Kiitaliano.....wasikilize hapa kwenye video hii; Hapa lugha ipo gongana kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI