Askofu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Kardinali Polycap Pengo....azungumza na Waandishi wa Habari Dar es salaam Jana, kuhusu hali ya Kisiasa nchini...ambapo alikemea kitendo cha Spika wa Bunge kukubali Wabunge kujiongezea posho za vikao Bungeni. Amewaasa kuacha tabia mbaya ya kujijali wao tu! na kuacha kuwajali Wananchi kwanza.
No comments:
Post a Comment