Watu 162 wamekufa baada ya kunywa pombe zinazotengenezwa kenyeji, ambapo inasadikiwa kuwa na sumu kali. Watu wengi wamekimbizwa katika Hospitali ya Diamond Harbour nchini humo, kwa matibabu hapo Jana - Ijumaa.
Baada ya kizaazaa hicho Polisi walivamia maeneo yanayotengeneza pombe hizo haramu na kuvunjavunja.
2 comments:
Duh pole zao...
Inasikitisha sana,sasa hao polisi wamepajua baada ya maafa,Mungu awaponye walio hospitali.
Post a Comment