Hivi kwanini viongozi wetu mnapenda sana kuomba misaada kwaajili ya mambo ya maendeleo na vitu vya misingi......lakini vitu visivyo na tija mnavimudu kuvifanya?
Hivi kweli sisi baada ya kufanya sherehe kubwa ya gharama ya miaka 50 ya Uhuru kwa mabilioni ya shilingi, na sherehe zingine nyingi tu za gharama, sisi kweli ni watu wa kutafuta mtu wa kutusaidia pesa za kufanyia sensa, kweli wana Jamii hii ni sawa?
No comments:
Post a Comment