WANAJESHI WANALIA? IMEKAEJE HII JAMANI.
Mbona huwa wagumu sana Wajeshi? Inakuwaje sasa hawa Wajeshi wa Korea Kusini wanalia? Hapa katika kuomboleza kifo cha Rais wao. Ina maana uzalendo umewashinda kabisa? Au Jeshini hawakupata mafunzo ipasavyo ya ukakamavu na shuruba? Sijawahi kuona Wajeshi wakilia.
No comments:
Post a Comment