Friday, December 9, 2011

LEO TUFURAHI SANA KWA KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU WETU!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mungu ibariki Tanzania...ila najiuliza kama kweli nina uhuru au je tangu nilipozaliwa na kukuta uhuru nimefanya nini?

Baraka Chibiriti said...

Kweli kabisa Dada Yasinta, hili swali ni la muhimu sana kujiuliza vizuri, maana wengine tunashabikia tu 50 ya uhuru....hata hatujui ni nini.

WATEMBELEAJI