JIJI LA DAR ES SALAAM...MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO, UPOTEVU WA MALI NYINGI NA MAKAZI. Wakazi wa Jiji la Dar es salaam, wamekumbwa na mafuriko...baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji na watu kukosa makazi kama inavyoonyesha katika picha hizi.
No comments:
Post a Comment