MSONGAMANO BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM.
Baada ya madaraja kuvunjika, barabara hazipitiki....mwendo ni kwa miguu tu sasa. Na usafiri umekuwa ni wa shida sana kwa Jiji la Dar es salaam. Poleni sana WanaJiji kwa kukumbwa na mafuriko haya.
-Blog hii inatoa pole sana kwa waliokumbwa na Maafa haya ya Mafuriko katika Jiji la Dar es salaam na katika Mikoa yote Tanzania, wenye shida hii.
No comments:
Post a Comment