Wakazi wa Kata ya Bareko, Wilaya ya Kondoa, Mkoani Dodoma....wakiwaonyesha Waandishi wa Habari majengo ya Shule ya Msingi ya Kurasini, ambayo pamoja na kuwa na Walimu watatu, ''Mgao wa chakula hewa'' haina Wanafunzi kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
- Picha na Habari Majira.
No comments:
Post a Comment