Dubai nakupenda sana...na ndo maana nikianza kwenda nyumbani Tanzania au sehemu nyingine ya dunia hii, hupenda kuchukua Pipa hili la Emirates....makusudi nipitie Dubai tu! Jengo zuri sana lililopo ndani ya maji Baharini....limejengwa kwa ufundi sana!
No comments:
Post a Comment