MH.MBUNGE WA SINGIDA...DEWJI, AKIFURAHI NA WANANCHI WAKE!
Acha we!....twende twende.....ngoma ya Kinyaturu imekolea hapa mpaka basi, Mheshimiwa Mbunge naye yumo tu kama kawa! si mwingine ni Mbunge wa Singida Mjini, Mh.Dewji..akiselebuka na Wanyaturu wenzake.
No comments:
Post a Comment