Tuesday, December 27, 2011

MAPACHA WENYE VICHWA 2 NA MOYO 1 WAZALIWA BRAZIL.

Mapacha wawili walioungana wamezaliwa katika nchi ya Brazil. Mmoja wa mapacha hao amepewa jina la Jesus na mwingine Emanuel....mapacha hao wamezaliwa wakiwa ni wenye kushea mwili mmoja, wakiwa na vichwa viwili, migongo miwili (Uti wa Mgongo) lakini wakiwa na moyo mmoja. Hali hii adhimu isiyo na kifani inasemekana kwa mujibu wa utafiti wa Kidaktari kwamba huweza kutokea pindi moja ya Jozi inaposhindwa kustawi na kujiendeleza ndani ya tumbo. Madaktari wamesema kwamba; kuwatenganisha mapacha hawa kwa sasa sio chaguo letu na itakuwa haifai kwasababu; mapacha hao wanashirikiana sawa katika viungo muhimu vya mwili.

No comments:

WATEMBELEAJI