Tuesday, December 27, 2011

WAKAZI WA JANGWANI - DAR...WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO!

Wakazi wa Jangwani, Jijini Dar es salaam...walioathirika na mafuriko, wakisafisha vyombo vyao kwa kutumia maji yasiyo salama kabisa pembezoni mwa makazi yao baada ya kurejea na kuendelea na maisha yao kama kawaida...hapo jana.

- Picha na Habari na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI