Saturday, December 3, 2011

MBUNGE WA IRAMBA...AONJA JOTO YA JIWE KWA KUKWAMA!

Mkazi wa Iramba....akihatarisha usalama wa maisha yake kwa kuingia chini ya gari la Mbunge wa Jimbo hilo la Iramba Magharibi Mh.Mwigullu Lameck Nchemba, kulinasua gali hilo lililokuwa limekwama kwenye Mto Ndurumo Kata ya Kidaru, Mkoani Singida.


Mbunge Mwigullu, akichakalika katika kuling'oa gari lake lililokwama.












Mbunge Mwigullu...akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya ubovu wa Miundombinu ya Barabara ya Jimbo lake.




- Picha na Abby Nkungu.







No comments:

WATEMBELEAJI