Saturday, December 3, 2011

PETER KAPINGA, SIKU ALIPOTUKIWA KAMISHENI NA RAIS KIKWETE!

LUTENI PETER KAPINGA. Tarehe 26/11/2011. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama Amiri Jeshi Mkuu....aliwatunuku Kamisheni wanachuo wa Chuo cha Kijeshi cha Monduli Mkoani Arusha.
Peter alikuwa mmoja wa wahitimu hao,anapenda kuwashukuru wote ambao waishiriki katika kumsaidia kwa namna moja au nyingine mpaka amefikia hapo alipofikia, zaidi anapenda kumshukuru Dada yake Ester Mbapila, pamoja na Mr.Mbapila kwa kushiriki katika mchakato wote mpaka anafanikisha kupata alichokihitaji.
ASANTENI SANA.

- Picha na Henry Kapinga.

No comments:

WATEMBELEAJI