Thursday, December 1, 2011

MKAKATI WA KUPAMBANA NA BAA LA UKIMWI TANZANIA.

Wanadamu tunapaswa kuishi kimaadili kwa kuzingatia; amri na maagizo ya Mwenyezi Mungu pamoja na Utu wema, kama njia ya kupambana fika na maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi, nchini Tanzania na duniani kote.
Wanadamu tunapaswa kutokuwa na mashaka na wasiwasi katika kukabiliana na tatizo la maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi...kwani hakuna kinachoshindikana kwa Mwenyezi Mungu hivyo; ni muda muafaka kila binadamu kwa imani yake kuishi kwa kuzingatia misingi ya maadili na utu wema.
Makala hii ya leo katika Blog hii, inalenga zaidi swala hili katika siku hii ya leo katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani.
-Tuishi zaidi katika maisha ya uaminifu ili kuepukana na gonjwa hili baya la Ukimwi. Kuwa mwaminifu kwa mke/mume wako....kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako.

No comments:

WATEMBELEAJI