Thursday, December 1, 2011

SIKU YA UKIMWI DUNIANI....HAPA NI DAR ES SALAAM, LEO!

Huu ndio Uzalendo wa kweli kwa nchi yetu, inatia hamasa kuona Wananchi mamia kwa mamia wakiwa wamekaa kwa utulivu kabisa kwa matukio muhimu kama haya ya Kitaifa.

Mwenyezi Mungu...Atubariki Watanzania wote hasa walioathirika na Ugonjwa huu wa Ukimwi ambao kilele chake ni leo...kukumbushwa kwa kukomeshwa, Mwenyezi Mungu awajalie wagonjwa wote nguvu ya kusonga mbele. Serikali na Taasisi zinazohusika zinapaswa kutafakari ni michango kiasi gani iliyowafikia na itakayowafikia hapo baadae waathirika bila kuchakachuliwa.

No comments:

WATEMBELEAJI