Sunday, December 25, 2011

MKESHA NA MARAFIKI.....LEO NIMETULIA TULII, NYUMBANI TU!

Mitaa ya Cesena!

Jana usiku katika mkesha wa Krismas...nimesherekea na marafiki, leo sina pa kwenda nimetulia tulii..!!! nyumbani tu. Nawatakieni sikukuu njema wote!

No comments:

WATEMBELEAJI