Sunday, December 25, 2011

LEO NI HOME TU....KUTAFUTA HABARI ZA HAPA NA PALE ZA X-MAS!


Mwenye habari yoyote katika sikukuu hii njema ya X-mas, na mahali popote pale alipo atuletee hapa; baraka500yahoo.co.uk

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mimi ndo nimerudi tu kutoka kazini jani nilikuwa nasikiliza au nasali misa ya usiku papa akisalisha na leo nimekuwa kazini na sasa sijui hata cha kupika kwani jana hapa ilikuwa ndo kristmas kwa hiyo tulishakula...Nimerudi nipo hoi na sijui cha kupika....je wewe umepika nini?

Baraka Chibiriti said...

Mimi nimepika nyama ya kuku na Chips...ha ha ha haaaaa..!!!! Labda nikutumie. Pole kwa kazi.

WATEMBELEAJI