Mpiganaji wenu Henry Kapinga wa Blog yenu ya KAPINGAZ BLOG leo tarehe 08/12 ndio siku alipozaliwa. Nawashukuru wale wote walionipa hongera kwa kuukaribia Uzee, sasa sijui kama ni wote ni mnapenda Uzee, manake fainali yake ni shughuli.
ASANTENI SANA!
- Pia Blog hii..inakupongeza sana kwa siku yako hii muhimu ya kuzaliwa, na kukutakia heri nyingi katika maisha ya kila siku...HAPPY BIRTHDAY KAPINGA.
No comments:
Post a Comment