Thursday, December 8, 2011

RAIS JK..AKITAZAMA MANDHARI YA JIJI LA DAR KUPITIA MGAHAWA!



Rais Jakaya Kikwete, akitazama mandhari ya Jiji la Dar es salaam...kupitia kwenye Mgahawa unaozungukwa na jengo la PSPF Golden Jubilee, muda mfupi baada ya kuzindua jengo hilo lenye urefu wa Mita 100, na lina Ghorofa 22.











- Picha na Fadhili Akida.





No comments:

WATEMBELEAJI