KAZI YAKO NI JINA LAKO
Saturday, December 17, 2011
MSAFARA WA KUPELEKA MWILI WA MT.DON.DOSCO - MAFINGA!
Msafara huu wa kutembeza Mwili wa Mtakatifu Don.Bosco Tanzania....hapa ukielekea Mafinga - Iringa, katika barabara kuu ya Iringa - Mbeya.
Hapa ukipokelewa Mafinga kwa umati wa watu wengi, kwa furaha na shangwe!
Mapokezi ya shangwe kweli kweli!!!
Katika Parokia ya Mafinga, ndani ya Kanisa hilo la Mafinga....ibada ikingozwa na Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo la Iringa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATEMBELEAJI
Web Counters
No comments:
Post a Comment