Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais, Mh.Bilal na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, katika Uwanja wa Ndege wa Dar es salaam.....mara baada ya kurejea kutoka Mjini Kampala - Uganda, alikohudhuria Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu.
No comments:
Post a Comment