Wednesday, December 21, 2011

MSAMARIA MWEMA...AKIMVUSHA KIKONGWE!

Msamaria mwema...akimvusha Kikongwe, Mkazi wa Jangwani - Jijini Dar es salaam...baada ya Makazi yake kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha Jijini Dar es salaam.

- Picha na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI