Tuesday, December 6, 2011

MSIMU WA SIKUU......USAFIRI HUWA WA MBINDE!

Kuelekea msimu wa sikukuu za Krismas na Mwaka mpya, usafiri kwa abiria umekuwa mgumu...kama abiria hawa kwenye picha hii waliokutwa Kituo Kikuu cha Mabasi Msavu - Mkoani Morogoro...wakisubiri usafiri wa kuelekea Dar es salaam, jana.

No comments:

WATEMBELEAJI