Thursday, December 1, 2011

MTIHANI JUANI.....HII KALI KWELI KWELI!!!!!

Unaweza ukawa unaona mbili mbili hapa.....jua la kwetu huwa likikubali kuwaka linawaka sawa sawa si mchezo... huwa inakupelekea kuona kwa tambu sana, mwishowe unaona kitu kimoja mara mbili. Sasa je hapa ikoje? Maana mmmmhhhh!!!!
Kama ndo hivi; Inabidi hawa wanafunzi wapewe miwani ya jua!

No comments:

WATEMBELEAJI