FURAHA YAO NI YETU SOTE....KARIBUNI SANA MAKALALA CHILDREN HOME - MAFINGA - IRINGA - TANZANIA.
Nimewakumbuka sana Watoto wangu hawa....Watoto Yatima wa Makalala Children Home, ndani ya Mafinga - Iringa - Tanzania. Nawarumia salamu nyingi sana Heri na Fanaka ya Mwaka mpya wa 2012. Nipo nao pamoja katika moyo wangu daima, katika sala zangu!
No comments:
Post a Comment