Kundi la Wacheza ngoma ya asili ya Kimakonde....wakicheza ngoma ya Mingogoti kuburudisha Wananchi, wakati wa ugeni wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mh.George Huruma Mkuchika, alipotembelea Jimbo lake la Uchaguzi la Newala.
- Habari na Hassan Simba.
No comments:
Post a Comment