Thursday, December 1, 2011

NYUMBA YA NG'OMBE NA FARASI - HUKU UGAIBUNI.













Hapa ni karibu na Austria kwa Rafiki yangu Peter na aliyekuwa Boss wangu Tanzania. Nilikuwepo huko kumtembelea wiki iliyopita, hii ni nyumba yake ya mifugo ya Ng'ombe na Farasi. Nyumba nzuri kama hii, nikafikiria haraka sana Tanzania - Bongo... jinsi watu wanavyoishi kwa tabu katika nyumba za makuti au miti a.k.a Mbavu za mbwa, cheki wanyama wa huku Ugaibuni wanavyo tanua, sisi hatuoni ndani kwa maisha wanayoishi hawa wanyama, wana daktari wao wa uhakika, chakula cha uhakika na maradhi kwa ujumla ya uhakika, wakati sisi watu wanaganga kusaka msosi mmoja tu wa siku nao ni mbinde kuupata, yaani maisha haya basi tu!







No comments:

WATEMBELEAJI