Tuesday, December 6, 2011

NYUMBA ZA KUTENGENEZA CHAPUCHAPU...ZENYE KILA KITU!




Hizi ndizo nyumba za kutengeneza chapu chapu...zenye kila kitu Full...kuanzia kiyoyozi, umeme wa Jua na mahitaji mengine ya muhimu yote! Wataanzisha wana AMICO SOLE....huko Tanzania. Ndio Kontena moja tumeiandaa leo, na ikifika itatengenezwa Nyumba moja ya Mfano....wenye kutaka wataongea.


No comments:

WATEMBELEAJI