Tuesday, December 6, 2011

KONTENA KWAAJILI YA TANZANIA. KUANZA SAFARI KESHO!














Leo tulikuwa na kazi ya kupanga Kontena ya Tanzania, tayari kwa kuanza safari hapo kesho. Hapa ni katika Kiwanda cha AMICO SOLE....mambo ya Umeme wa Jua, ni nje kidogo ya Mji wa Cesena - Piovestestina - Italy..hapa niishipo!






No comments:

WATEMBELEAJI