Padri mmoja alikuwa mgeni wa Jiji la Dar es salaam, hakujua njia ya Posta akamwona mtoto mmoja na kumwuliza; Mwanangu unaijua njia ya Posta?
Mtoto akamjibu; Nenda moja kwa moja mpaka njia panda fuata kulia.
Padri akamshukuru sana mtoto, kisha akamwambia; Mimi ni Padri mpya hapa Mjini, ukija Kanisani Jumapili nitakuonyesha njia ya Peponi.
Mtoto; Akacheka sanaaaa!!!!! na kumwambia; Njia tu ya Posta huijui, utaijua njia ya Peponi?!!!!
No comments:
Post a Comment