Monday, December 12, 2011

RAFIKI WA KWELI HAKUACHI KATIKA SHIDA!

Rafiki wa kweli huonekana katika shida.....sio kwenye matanuzi tu!
Angalia sasa hapa Jamaa anavyompa kampani ya kweli, sio marafiki wengine ukilazwa Hospitalini hawafiki hata kukuona na kukupa pole.

No comments:

WATEMBELEAJI