Monday, December 12, 2011

PICHAZ KWA WINGI SANA...ZA SHEREHE HUKO MJINI ROMA-ITALY.

Nimeweka picha nyingi sana...kwasababu watu wengi waliokuwepo kwenye sherehe hii waliniomba niweke hapa ili waweze kuchukulia hapa picha zao. Nami nimeitikia wito huu. Sherehe ilikuwa nzuri sana...Kaimu Balozi wetu wa hapa Italy, Mh.Salatory Mbilinyi...alianza kuhutubia sherehe hii kwa kufungua rasmi na kwa mbwembwe na vichekesho kwa sana, alisema; Nawakaribisheni tusherekee miaka 50 hii ya Uhuru wetu, kwa shangwe na kufurahi sana tena sana....alisema sisi kule kwetu husema; WI UKA LEPA MPAKA TIMALA UGIMBI, = yaani; HATUONDOKI MPAKA TUMEMALIZA POMBE. (Wangoni mpo hapo?). Kwekweli Kaimu Balozi wetu, mchangamfu sana alituchekesha sana kwa vituko vingi tu; Eti miaka 50 iliyopita Wazungu walitudharau na kusema hatuwezi kupanda hata ndege, kwasababu tuta tapika na kupiga kelele kwa kuogopa.....leo hii tumesonga mbele, Wangoni wangapi wapo nje ya nchi wameweza kupanda Pipa (Ndege) bila wasiwasi wowote....mambo mengi tu alichekesha sana. Yeye Kaimu Balozi ni Mngoni, hivyo alitoa mifano mingi ya Kingoni. Kaimu Balozi wa Tanzanina nchini Italy, Mh.Salvatory Mbilinyi...akisoma hotuba yake katika sherehe hii ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.

Mwenyeiti wa Watanzania Roma.....naye akitoa mawaidha yake katika sherehe hii.









Kaimu Balozi akikata keki ya Uhuru.


















Keki keki keki keiiii.....keki hiyooooo......!!!!!!! Keki keki hiyo...kekiiiii keki hiyoooooo!!!!!!!!











Mapadri wawili na maafisa wa Ubalozi wetu Italia wawili kutoka kulia.













Pamoja na Katibu wa Watanzania Roma, Mh.Andrew Chole Mhella.














Pamoja na Kaimu Balozi wetu Italy, Mh.Salvatory Mbilinyi.



















Pamoja na Mwenyekiti wa Watanzania Modena, Mh.Mwinyi Mwaka.






















































































































Pamoja na marafiki.































































































Dj..kutoka Zanzibar.



































Warembo.




































Kuselebuka kidogo muhimu.





























































































































Pamoja na Dada Judy kutoka Napoli....naye pia anatokea Bombiii nyumbii..a.k.a huko Peramiho - Songea. Ilikuwa ni full shangwe sana tuu!!!!





























































































Keki nzuri....inastahili kupingwa picha.

















































Time ya maakuli.....a.k.a Msosi.










































































































-Kwakweli tunawashukuru sana tena sana tu! Wana Jumuiya ya Roma...Watanzania wenzetu kwa kuandaa sherehe nzuri sana, pia shukrani sana kwa mwaliko wa kujumwika pamoja nanyi katika sherehe hii nzuri. Mwenyezi Mungu awabariki sana!






















































No comments:

WATEMBELEAJI